Siri ya Kunena kwa Lugha / Hard Copy
Tsh 20,000.00
Usafirishaji wa bure kwa maagizo zaidi ya $50
Maelezo
Siri ya Kunena kwa Lugha
Je, umewahi kujuliza maana halisi ya kunena kwa lugha? Je, ni za kuachwa wachache au ni sehemu ya urithi wa kila muumini katika Kristo? Kitabu hiki kinakufunulia umuhimu na uelewa wa kweli wa siri hii ya kipekee iliyochia nguvu, hekima, na uhusiano wa moja kwa moja na Mungu kupitia maombi ya rohoni.
Katika kurasa zake, Siri ya Kunena kwa Lugha kinachambua misingi ya kibiblia ya kunena kwa lugha kwa kutumia maandiko kama 1 Wakorintho 14, Warumi 8:26–27, na Matendo ya Mitume. Kinaeleza tofauti kati ya lugha kama ishara na lugha ya maombi. Pamoja na hayo, kitabu hiki kitakufundisha jinsi ambavyo kunena kwa lugha kunajenga imani yako, kunahuisha maombi, na kukuunganisha kwa undani na mapenzi ya Mungu, hata pale ambapo akili yako haina majibu.
Kitabu hiki ni mwongozo wa kiroho unaokupeleka mbali zaidi ya kiwango cha juu cha maombi na maisha ya ndani ya Roho. Utajifunza kwa nini Biblia inasema “msizuwie kunena kwa lugha.” Karama hii ni muhimu sana katika maisha ya kila Mkristo, na kupitia mafundisho yaliyo wazi, ya kina, na yenye ushuhuda wa kimaandiko, utajengwa na kupata ujasiri wa kuishi maisha yenye ushindi wa kiroho kila siku.
“Ukiweza kuelewa siri ya kunena kwa lugha, utaunganishwa na nguvu mpya za kila siku katika maisha yako ya kiroho.” Hiki ni kitabu kwa kila anayetafuta kukua, kuimarishwa katika maombi, na kutembea katika nguvu za Mungu.